Sitaki tena,halafu naona ni ujinga kumjibu mtu kama yuleNenda nitakwambia aliyechukua miwani na kuvunja jicho moja[emoji6]
nsamaka kipenzi wapiMahali pekee ndani ya jamiiforums ambapo uwepo wako utakuburudisha
Hapana atakuwa ni beef mana yule kila siku[emoji23]
Hata sijaona kabisa[emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]carbamazepine asipaone hapa, Mseminari mie! [emoji124][emoji124][emoji124]
Sasa nifanyeje wakati sipendi kupika[emoji23][emoji23][emoji23]Naona unavyoangaika kugoogle ila ukifika jikoni ndio vile unapuyanga japo umedesa mapishi
Mars
Halafu sina imani na waseminary sijui kwanini[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ati nanock mlango ya choo jamaa ananiuliza,,,," ulikua unataka niache viatu apo nje ndo ujue kuna MTU ndani" Shwaiiiiini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmhh![emoji20][emoji20]Mimi nitakuwa special! Tofauti kabisa na hao wengine! [emoji23][emoji23]
Hata sijaona kabisa[emoji23][emoji23]
Nilikuwa nataka kuona ninapo paona sasa. [emoji6] [emoji6]Itakuwa ni wewe tu,maana.....
Uzi ShuleUzi unakupa ufahamu mkubwa
[emoji6] [emoji6] [emoji23] [emoji23]Nakaribia kukugawa ujue[emoji23][emoji23][emoji23]