Leo siji unapuyanga simu unasahau hadi kula.Sasa nifanyeje wakati sipendi kupika[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu uniletee chips nile[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji109] [emoji109] [emoji109] nipe gwala mkuu. ndiyo maana wanyama wote, wakali na wasio wakali ,wote wamuonapo mwadamu hutimkq mbio"Nendeni mkaitawale dunia na vyote vilivyomo." Mwanadamu ana mamlaka hayo aliyopewa na Muumba japo mara nyingi anayatumia vibaya !!!