acha kulalamika rafiki yangu. Kaa chini fikiria unawezaje kubadili changamoto hiyo kuwa furusa kwako. Kulalamika ni kupoteza muda. Kulalamika hakuleti majibu yoyote zaidi ya kuendelea kuwa hivyohivyo ulivyo.
Kazi ni kwako rafiki yangu, chanagamoto ni mlango wa wewe kutoka hapo ulipo. Ukiweza kutatua changamoto hiyo, kuna furusa kubwa mbele yako ya kutoka hapo ulipo. Ikabili changamoto/ tatizo leo, usilikimbie