moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwanafunzi[emoji3] [emoji3]Haahhhhaaaa kuna mnalotafuta
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwanafunzi[emoji3] [emoji3]Haahhhhaaaa kuna mnalotafuta
Niangalie tu[emoji6][emoji6]au tuangaliane basi[emoji12][emoji12]Mutoto muzuri unajua leo nimekuham kukuangalia
Kijana mtulivu wewe uliyemkimbiza Bob12 jukwaani[emoji23]Kwenda zako we mwnyw unajua ukweli dg
Habari ya jumapili shemeji
Salama jirani rafiki habari ya leoCarbamazepine habari yako kiongozi
Ndo hivyo tukipata mwanamke mweupe mapozi ya "kishua". Kwema shemeji? Jumapili inaendeleaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh jamani
Nzuri kabisa kabisa mno sana sana gete gete shemeji. We unaendeleaje? Najiandaa kwenda kanisani kutubu !!!Habari ya jumapili shemeji
Nenda sokoni Kiabakari musoma ukaongee maneno haya uone utakavyo gombewa na wanawake wenzako[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwanaume anaenyanyua mkono wake kumpiga mwanamke, Ujue hakuwahi kunyosha mkono darasani kujibu swali, alipokuwa shule
Niko salama kabisa,nenda usisahau kutuombea na sisi,na wale wagonjwa[emoji120]Nzuri kabisa kabisa mno sana sana gete gete shemeji. We unaendeleaje? Najiandaa kwenda kanisani kutubu !!!
Nitafanya hivyo shemeji. Una habari zo zote za wagonjwa? Naona kimyaaa mpaka kunatisha. Tuombe bila kukoma !!!Niko salama kabisa,nenda usisahau kutuombea na sisi,na wale wagonjwa[emoji120]
Nikutakie ibada njema
Sijapata habari yoyote kwakweliNitafanya hivyo shemeji. Una habari zo zote za wagonjwa? Naona kimyaaa mpaka kunatisha. Tuombe bila kukoma !!!
Michango midogo midogo mtapata tuSawa mkuu. Endelea kuwa unatoa tumichango chango kama ulivyofanya leo !!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji3] [emoji3]Good afternoon DAR ES SALAAM
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji3] [emoji3]Good afternoon PWANI
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Good afternoon MOROGORO
[emoji121] [emoji121] [emoji3] [emoji3]Good afternoon LINDI