mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AMUN RAMkuu unaonyesha umebobea kwenye mijadala ya siasa. Jitahidi uwe mvumilivu, hapa ni mahali pa upendo, kwahiyo uvumilivu una nafasi kubwa.
AMUN RAMkuu unaonyesha umebobea kwenye mijadala ya siasa. Jitahidi uwe mvumilivu, hapa ni mahali pa upendo, kwahiyo uvumilivu una nafasi kubwa.
AMUN RAHata wewe!!? Tunatarajia busara na hekima zako zitawale mahali hapa
Kumbe ndiyo maana nimekuona pale mtaani[emoji3] [emoji3]*Leo nimekutana na Ombaomba akanambia naomba hela. Nikamwambia sina hela, akasema sasa unazurula zurula nini si ukae hapa tuombe wote!
Jumapili nzuri kwa kweli sijui pande za huko kwenuJumapili inaendeleaje wakuu? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Zipo Siku hizi kweli au napishana nazo![]()
Sasa 6 kamili mchana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
![]()
Kumbe ndiyo maana nimekuona pale mtaani[emoji3] [emoji3]
Nashukuru siku inaenda vema, ila kwenye hicho chama nitabakia kuwa mtazamaji tu[emoji3] [emoji3]Sema kamanda wa pwani. Asante sana. Sema na wewe kama unataka kacheo kwenye chama chetu. So far kuna mwenyekiti, katibu na mweka hazina. Kuna vyeo vingi vinahitaji kujazwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siku inaendeleaje?
![]()
Sawa mkuu. Endelea kuwa unatoa tumichango chango kama ulivyofanya leo !!!Nashukuru siku inaenda vema, ila kwenye hicho chama nitabakia kuwa mtazamaji tu[emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyumba za uswahilin bnaa
Yaan ukikaa na demu ndani ,,, ile ukitok nje tu na jasho la ndani utasikia majirani……!
Huyu dada nae atamuua mkaka wa watu
Sijui wao hua wanawaza nini
Du [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jinsi ya kuvuka barabara pale baghdadi Iraq .....tazama kulia tazama kushoto kama hakuna gari kisha tazama juu kama hakuna rocket karibu kisha tazama nyuma kama hakuna terrorist na kisha tazama ulipokanyaga kama hakuna Bomu LA kutegwa na kisha vuka barabara kwa zigzaga kukwepa risasi
Unakitendea haki cheo chako, wapi Andjul
Iwe njema Na kwako piaJumapili njema bwana awe nasi
Amin