Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeshuka penye motokali kisha nikaenda upande wa abiria na kumfungulia mlango wife jambo hili limemvutia dada mmoja bila kusita kaja na kunambia "kaka ningepata bahati ya kuolewa na mwanaume kama wewe ningeringa sana yaani mpaka unamfungulia mlango wa gari mkeo "kimoyo moyo nikasema angejua kuwa huu mlango ni mbovu mpaka ufungue kwa nje sijui angesemaje!
 
1453ceac929173df3dcb0dce1b7969fd.jpg
Aisee. Sababu ni nini?
 
Hapa tunaye mtalaam wa kutathimini makalio[emoji3] [emoji3] [emoji3] amejianzishia chama chake[emoji3] [emoji3] na hivyo scout wake wa kumletea taarifa za Misambwanda amewapa vyeo kwenye chama chake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
339f5e0eb14d140f593252a7bf5f1484.jpg
Mzee ....ona hiyo!!!
Sema kamanda wa pwani. Asante sana. Sema na wewe kama unataka kacheo kwenye chama chetu. So far kuna mwenyekiti, katibu na mweka hazina. Kuna vyeo vingi vinahitaji kujazwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siku inaendeleaje?
33dc0fb145bc7a54b5ec25ccbc8808f1.jpg
 
Back
Top Bottom