Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

429c84a90b3d56c2eea0e35c20144376.jpg
 
Ukigombana na mkeo mwache aende kwao, using'ang'ane kutuma watu huko kumrudishaa.
Tunajua majirani wana fitina sana, so what you do, nenda kariakoo nunua chupi tano kubwa kubwa colours tofauti.
Zifue alafu anika mapema kwenye kamba ya mlango yako. , Watampigia mkeo simu wakimuambia sasa ameleta mwingine mwenye chura kukushinda wewe.
Kesho yake asubuhi utaona wife yuko mlangoni na kilio juu, na kuanzisha vurugu mwisho wa ugomvi atakwambia na siondoki mpaka nimuone huyo malaya wako, Watu ni kusaidiana bana!!!
 
Back
Top Bottom