mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good afternoon MWANZA
E[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukubwa wa pichu = ukubwa wa msambwanda? Siyo lazima bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaWAZUNGU
Mtoto akitaka kulala mzaz anaanza kumsomea hadith nzur kweny kitabu zenye mafundisho ya watoto mpaka mtoto analala.
WABONGO
Mtoto akitaka kulala anatishwa,utasikia "wewe hebu lala upesi eeh dudu hilo,dudu hilo!,nazima taa nazima.
TeheteheteheNILIKUA NAPERUZI FACEBOOK NIKAONA WANAWAKE WENGI WAMEWAPOST WANAUME ZAO NIKAJIULIZA KWANINI KUMBE LEO NI MWANZO WA MWEZI WADADA WAPO SERIOUS NA KAZI DUH
Mtanyoookaaa tu,Mambo-ya-Pesa
*Kuna dem mmoja kaja home kaniomba pesa nikamwambia sina cash labda bank au M pesa akanambia hapo barabarani kuna wakala twende tukatoe, wakati tunatoka nikamtext mshikaji wangu nikamwambia mi nakuja hapo kwa wakala nikifika karibu nitajifanya kama naongea na simu halafu we utakuja kunipora. Kweli tumefika karibu na wakala mshikaji kaja kanipora simu kakimbia nayo mi nikabaki nashangaa kama cjui kitu cha ajabu yule demi kakimbizana na mshikaji cjui kamkamatia wapi kaja anampiga makofi jamaa yuko hoi dem kanigea simu nimetoa hela nimempa kaondoka hapa mshikaji nae kaniganda nimpoze maana sio kwa vitasa alivyochezea na shati lake limechanika hata cjui nifanyeje*
wanawake wa JPM hawataki masihara
Kwa watu makiniUzi makini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SHEMEJI LAMBA HARAKA TUMALIZE NATAKA NIKAOGE, Jamaa kusikia vile akavunja mlango kwa hasira na kuingia ndani, kakuta mkewe na ndugu yake WANACHEZA KARATA"
Wivu nomaa asee!
Kwa watu makiniPost makini
Moja iyoOyooooo naliaamsha dude LA like gonga like gonga like kudadeki