Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bleaching your skin till you shine brighter than your future is not a problem, the problem is having White Face, Yellow Hands, Chocolate Lips, and Black Legs..My sister are you a zebra?
 
Jinsi ya kuvuka barabara pale baghdadi Iraq .....tazama kulia tazama kushoto kama hakuna gari kisha tazama juu kama hakuna rocket karibu kisha tazama nyuma kama hakuna terrorist na kisha tazama ulipokanyaga kama hakuna Bomu LA kutegwa na kisha vuka barabara kwa zigzaga kukwepa risasi
 
Kuna demu kanitumia sms
" Baby nipo hospitali nimelazwa, naomba unitumie sh 50000. Nikipona nitakurudishia.."
Nimemjibu " Ukifa je.!?"
* Kwenye hela sitakagi ujinga kabisa.. *
 
Ukigombana na mkeo mwache aende kwao, using'ang'ane kutuma watu huko kumrudishaa.
Tunajua majirani wana fitina sana, so what you do, nenda kariakoo nunua chupi tano kubwa kubwa colours tofauti.
Zifue alafu anika mapema kwenye kamba ya mlango yako. , Watampigia mkeo simu wakimuambia sasa ameleta mwingine mwenye chura kukushinda wewe.
Kesho yake asubuhi utaona wife yuko mlangoni na kilio juu, na kuanzisha vurugu mwisho wa ugomvi atakwambia na siondoki mpaka nimuone huyo malaya wako, Watu ni kusaidiana bana!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukubwa wa pichu = ukubwa wa msambwanda? Siyo lazima bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
591e11720131c0de7eca2be61a92433b.jpg
 
Nime miss rafiki yangu bingwa wa rivasi.

Tangu malaria nilikuwa na dispensari hapa ndio nipo na kucheki, nimekwenda dawa kuchukua Ijumaa kugundulika Gongolamboto, ili nimeze daktari baada.


Yule bingwa wa rivasi ilikuwa kwenye gazeti gani vilee
 
UKIAMBIWA TANGA KUNA RAHA UWE UNAELEWA

Tanga hata majina ya mabasi yanakupa raha, yaani Tanga utakuta mabasi kama RAHA LEO, TAWAKAL, BEMBEA, TASHRIFF, BURDAN, TAHMEED na hata SIMBA nayo ni SIMBA MTOTO yaani hutishiki

Sasa njoo mikoa ya watu wa shari... utasikia BUFFALO, NEW FORCE, KIMBINYIKO, MAJINJA, THE NAVIGATOR, KALUBANDIKA..nk

Mnaambukiza tabia mbaya mpaka magari
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom