Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UKIAMBIWA TANGA KUNA RAHA UWE UNAELEWA

Tanga hata majina ya mabasi yanakupa raha, yaani Tanga utakuta mabasi kama RAHA LEO, TAWAKAL, BEMBEA, TASHRIFF, BURDAN, TAHMEED na hata SIMBA nayo ni SIMBA MTOTO yaani hutishiki

Sasa njoo mikoa ya watu wa shari... utasikia BUFFALO, NEW FORCE, KIMBINYIKO, MAJINJA, THE NAVIGATOR, KALUBANDIKA..nk

Mnaambukiza tabia mbaya mpaka magari
 
Mambo-ya-Pesa
*Kuna dem mmoja kaja home kaniomba pesa nikamwambia sina cash labda bank au M pesa akanambia hapo barabarani kuna wakala twende tukatoe, wakati tunatoka nikamtext mshikaji wangu nikamwambia mi nakuja hapo kwa wakala nikifika karibu nitajifanya kama naongea na simu halafu we utakuja kunipora. Kweli tumefika karibu na wakala mshikaji kaja kanipora simu kakimbia nayo mi nikabaki nashangaa kama cjui kitu cha ajabu yule demi kakimbizana na mshikaji cjui kamkamatia wapi kaja anampiga makofi jamaa yuko hoi dem kanigea simu nimetoa hela nimempa kaondoka hapa mshikaji nae kaniganda nimpoze maana sio kwa vitasa alivyochezea na shati lake limechanika hata cjui nifanyeje*

wanawake wa JPM hawataki masihara
 
WAZUNGU
Mtoto akitaka kulala mzaz anaanza kumsomea hadith nzur kweny kitabu zenye mafundisho ya watoto mpaka mtoto analala.
WABONGO
Mtoto akitaka kulala anatishwa,utasikia "wewe hebu lala upesi eeh dudu hilo,dudu hilo!,nazima taa nazima.
 
Hawakawii kukuita "mission town"hao mkuu.Utasikia bebe wangu anafanya ofisi ya "transipoti"kwa muhindi na mshahara milioni nane.Dadangu acha kuwakoga wenzio si useme ni dereva bodaboda tu,mradi "njuruku"zinakufikia kidogo kidogo!?
 
MANGI alinunua Mbuzi akamwambia Mpishi. "Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye friji, KICHWA fanya supu na MIGUU fanya mchuzi wa chukuchuku, NGOZI usitupe tutafanya mkeka, UTUMBO pika na ndizi, MIFUPA tutawauzia wenye mbwa, KINYESI weka kwa ajili ya mbolea ya bustani"

Mpishi akamuuliza- "sauti yake je?"

MANGI - "fanya ringtone kwenye simu yako"

Mpaka sasa mpishi hajulikani alipo.

Wachaga tuko vizur kwenye matumiz usimwige mchaga utakufa tajir
 
Back
Top Bottom