mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Salama..kwako?Habari za usiku huu wanalikes
HahahahahaUnastahili uanachama au cheo kabisa katika hiki chama chetu kinachokua kwa kasi. Ukatibu au Uenyekiti msaidizi utakufaa?
Halafu binti ana sketi american flag[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kibiti hapo uchochoroni. Leo shemeji huchomoki. KK kifua wazi kaja kimapambano leo. Ningekuwa karibu ningekuja kukuokoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaShemeji kwema? Wewe ni jeshi la mtu mmoja Shwazinega cha mtoto. Mchina, Big Baba, Moud na wengineo walikuwepo wote ukawagaragaza ukaondoka na mtoto kiulaiiiniiiii. I salute you, sir !!!
Hila yuko vizuriBro mimi IG NIshajitoaga Zaman
Nakiitaji kweli Fanya mpango basiMimi pia ila nina kasofutiwea fulani hivi kananiletea tu cho chote ninachotaka !!!