Ulikuwa pango la wapi jamanNiambie mama sauti yako imenitoa pangoni mrembo!
Poleni, na samahani sana ikiwa imevuka mipaka. Naondoa, tafadhali ondoa na hiyo quote yakoMkuu, angalia utalimwa ban. Common sense itawale tusije tukaingia kwenye ponografia laini ambalo ni kosa la jinai [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
We Numbisa wewe! Halafu mtu akikuona laivu si ajabu uko mpoleee mnyenyekevuuuuuuuu ungangari wa mtandaoni tu. Kuna siku nitathibitisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto nasikia wa Masaki huko kwa akina Mzee wa Liver Peninsula full kipupwe money loves me Masaki is my home yeuwii walahi AMUN RA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Alikuwa na mambo ya ajabu kweli IG mpaka alivujisha na picha zake. Sijui familia za mabinti kama hawa huwa zinajisikiaje zikiona vitu kama hivi...
Ndo style zako ehMtoto nasikia wa Masaki huko kwa akina Mzee wa Liver Peninsula full kipupwe money loves me Masaki is my home yeuwii walahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Alikuwa na mambo ya ajabu kweli IG mpaka alivujisha na picha zake. Sijui familia za mabinti kama hawa huwa zinajisikiaje zikiona vitu kama hivi...
![]()
Unastahili uanachama au cheo kabisa katika hiki chama chetu kinachokua kwa kasi. Ukatibu au Uenyekiti msaidizi utakufaa?Michango midogo midogo mtapata tu![]()
Fuatilia mjadala.Ndo style zako eh
Tupo. Tunasonga. Wewe upo? Mnasemaje huko MMU?Humu mupo shwaree
Kibiti hapo uchochoroni. Leo shemeji huchomoki. KK kifua wazi kaja kimapambano leo. Ningekuwa karibu ningekuja kukuokoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wataka nikukodolee macho useme sina aibu[emoji23][emoji23][emoji23]
Cheo mpe BAKUnastahili uanachama au cheo kabisa katika hiki chama chetu kinachokua kwa kasi. Ukatibu au Uenyekiti msaidizi utakufaa?
BAK ni mweka hazina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cheo mpe BAK