carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
kwa style hii uwezekano wa kuchomoka ni mdogo sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibiti hapo uchochoroni. Leo shemeji huchomoki. KK kifua wazi kaja kimapambano leo. Ningekuwa karibu ningekuja kukuokoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()