Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu aliwahi kuninyang'anya demu. Hovyo kabisa huyu jamaa. Sijui alifia wapi. Shwaiiiini !!!Nteze john rungu
Huyu aliwahi kuninyang'anya demu. Hovyo kabisa huyu jamaa. Sijui alifia wapi. Shwaiiiini !!!Nteze john rungu
Hahaha hahaha pole sana mkuuHuyu aliwahi kuninyang'anya demu. Hovyo kabisa huyu jamaa. Sijui alifia wapi. Shwaiiiini !!!
Kana sababu kusema hivyo. Si ajabu kamekuota [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Mara waseme sababu wamfikiria sana,leo sababu kakumiss aagrr!tunachanganyana[emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole shemejiHuyu aliwahi kuninyang'anya demu. Hovyo kabisa huyu jamaa. Sijui alifia wapi. Shwaiiiini !!!
Ooohooo[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kana sababu kusema hivyo. Si ajabu kamekuota [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
NipoUpo mamaa
Kwa nini Leo ujafukua makaburiNipo
Sasa cha ajabu demu mwenyewe, pamoja na kupata bwana mashuhuri, akirudi kwao viporo vinapashwa kama kawaida. Ulikuwa ndo mwanzo wa kuanza kuwaelewa wanawake sawa sawa. Mapito ya maisha !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole shemeji
Yaani sipati picha hiyo shwaini ulivyoitamka