mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Twaha hamidu
Day! Mkuu hujasahau tuHuyu aliwahi kuninyang'anya demu. Hovyo kabisa huyu jamaa. Sijui alifia wapi. Shwaiiiini !!!
Hiyo hapona mimi jaman mbna cna like
Asante sana Mr. Treasurer. Leo umekitendea makuu chama chetu [emoji122][emoji122][emoji122]Nilifuata wito wa Katibu wangu kwamba leo ni siku muhimu kwa kile chama chetu pendwa 🙂🙂
Na kweli ni mapitoSasa cha ajabu demu mwenyewe, pamoja na kupata bwana mashuhuri, akirudi kwao viporo vinapashwa kama kawaida. Ulikuwa ndo mwanzo wa kuanza kuwaelewa wanawake sawa sawa. Mapito ya maisha !!!
AiseeSasa cha ajabu demu mwenyewe, pamoja na kupata bwana mashuhuri, akirudi kwao viporo vinapashwa kama kawaida. Ulikuwa ndo mwanzo wa kuanza kuwaelewa wanawake sawa sawa. Mapito ya maisha !!!
Hasira kama ilikuwa juzi ijumaa..wacheza enzi zao nani aliwaweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole shemeji
Yaani sipati picha hiyo shwaini ulivyoitamka
Vidogo kama vileNa kweli ni mapito
Wakati mwingine tunashawishika kwa vitu vidogo sana
[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa cha ajabu demu mwenyewe, pamoja na kupata bwana mashuhuri, akirudi kwao viporo vinapashwa kama kawaida. Ulikuwa ndo mwanzo wa kuanza kuwaelewa wanawake sawa sawa. Mapito ya maisha !!!
Ila kuibiwa/kuporwa mtu wako kunauma jirani[emoji23][emoji23]Hasira kama ilikuwa juzi ijumaa..wacheza enzi zao nani aliwaweza
Nisahau? Demu lilikuwa moto balaa. Beatrice. Toto la geti kali la Kisukuma refu jeupe guu la bia kiuno kizito, kifuani nyanya chungu halafu pooole zembe zembe hivi mwili laiiiiiniiii ka konokono. Napata ushungu nikikumbuka aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Day! Mkuu hujasahau tu
Ndio naingia jmnKwa nini Leo ujafukua makaburi
Kumbukumbu mujarab..Mohamedi mwameja