Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara waseme sababu wamfikiria sana,leo sababu kakumiss aagrr!tunachanganyana[emoji19][emoji19][emoji19]
Kana sababu kusema hivyo. Si ajabu kamekuota [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Ooohooo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole shemeji
Yaani sipati picha hiyo shwaini ulivyoitamka
Sasa cha ajabu demu mwenyewe, pamoja na kupata bwana mashuhuri, akirudi kwao viporo vinapashwa kama kawaida. Ulikuwa ndo mwanzo wa kuanza kuwaelewa wanawake sawa sawa. Mapito ya maisha !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…