Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mawazo ya nini wewe[emoji23][emoji23]Hii sentence inanipa mawazo Sana
Eti zembe duu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nisahau? Demu lilikuwa moto balaa. Beatrice. Toto la geti kali la Kisukuma refu jeupe guu la bia kiuno kizito, kifuani nyanya chungu halafu pooole zembe zembe hivi mwili laiiiiiniiii ka konokono. Napata ushungu nikikumbuka aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo......mzima wewe?Hujambo mrembo?
Wanawake ni fumbo zito mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....labda mrembo alikuwa haridhiki na dushe la bwana mashuhuri.
Ukinikimbia kwa vidogo vidogo itaniuma kweli yaani siwezi kuelezeaMawazo ya nini wewe[emoji23][emoji23]
Pambana tu
Kweli..Wanawake ni fumbo zito mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maana naupenda uzi huu. Tunataniana na kucheka. Misifa mhhh...Nina kauandishi andishi hivi na naweza kumpamba mtu wee kumbe wa kawaida tu. Naamini hakufikii wewe shemeji !!!Aiseeh[emoji134][emoji134]
Sio kwa misifa hiyo,yani hapo lazima kamoyo kaume[emoji23][emoji23][emoji23]