Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu ambao wanakupa hamasa ya wewe kwenda mbele. Watu ambao wameshapiga hatua kubwa kwenye safari yao ya mafanikio. Utashangaa kwa ushauri mzuri wa bure watakaokupa.
Kweli kabsa mkuu ila wenzangu na mimi kina kajamba nani ukiwafata kwa ushauri wataona kama unataka uwazidi kiuchumi na kimaendeleo ndio mana sisi waafrika wengi wetu hatuna maendeleo kwa sababu ya uchoyo na tamaa
 
Back
Top Bottom