Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hahaha wow kumbe kateuliwa, sasa ngoja nijiandae kuhamia mjini[emoji14] [emoji12] [emoji12]Anaapishwa kwenye baraza jipya la mawaziri leo,atakuwa busy sana kipindi hiki [emoji38][emoji38][emoji38]
Wala, mm nampa tahadhali tunsamaka unaniperusha ndege[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itakuwa baraza la mawaziri siasani.humu jf ni jambo lipi ambalo lina trend
Nishamwambia aache kukikatia umeme,hajui kama ulikuwa singo mda mrefu[emoji23][emoji23][emoji23]carbamazepine carbamazepine njoo unisaidie huku
Zisizo na idadi[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nikifikisha likes ngapi ndo nitaridhika?
We utabaki tukuyu me notaenda naye dodoma sawa bi mkubwa??Hahaha wow kumbe kateuliwa, sasa ngoja nijiandae kuhamia mjini[emoji14] [emoji12] [emoji12]
Ulicopy vibaya makusudi si bureWe si umenipa namba ya bajaji?[emoji38][emoji38][emoji38]
Iwe hivyo maana hali imekuwa mbaya[emoji3] [emoji3]Tuanzishe sober house kwa ajili ya waraibu wa likes?
Na kwa moyo moyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuona unajitahidi kuwakarimu wageni kwa mikono miwili hahha.
Tatizo uliandika kama unakimbizwa bhanaUlicopy vibaya makusudi si bure
Ndio maana nakupenda aiseeh[emoji39] [emoji6]Hebu acha kumkatia umeme bhana[emoji23][emoji23]unajua kawa singo mda mrefu sana
Mbona zote umechukua weyemutu ya mapesa mingi[emoji23]
Kwa makinikia haya ya usingizi na maufundi yako siwezi fika ule mdaBasi twende leo[emoji6][emoji6]
Upande huu bwana kwema kabisaaaaaKwema?
Za upande ule?
[emoji7][emoji7]siwezi acha uteseke ujue[emoji6][emoji6]Ndio maana nakupenda aiseeh[emoji39] [emoji6]
Tahadhari??? Kwanini kuna matatizo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wala, mm nampa tahadhali tu
[emoji6] [emoji6]Nishamwambia aache kukikatia umeme,hajui kama ulikuwa singo mda mrefu[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nitaenda kumsalimia jirani yakoKwa makinikia haya ya usingizi na maufundi yako siwezi fika ule mda
Haya nitumie zako pimbi wewe[emoji6]Tatizo uliandika kama unakimbizwa bhana