Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afrika ni bara lenye watu wa umri mdogo zaidi. Zaidi ya asilimia 50 ya watu Afrika wako chini ya umri wa miaka 20, ukilinganisha na kiwango cha wastani cha dunia ambacho ni 30. Hivyo Afrika ina kiwango kikubwa cha watoto tegemezi chini ya umri wa miaka 15.
Watu wanazaa eeh! Wakati Wajapan na Waskandnavia huko wanalia ukosefu wa watoto na vijana, sisi tunajitotolea tu. Halafu mambo yakituzidi huku tunajazana kwenye boti tunawafuata huko huko waliko. Safi sana !!!
 
Back
Top Bottom