carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nimeamka we mselaUkiamka niambie we pimbi.
Aje aje huko
Nimeamka we mselaUkiamka niambie we pimbi.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji3] [emoji3]Tunapata mbubujiko wa dopamine kwa kuingia katika uzi wa likes.
Nitakuwa mteja wako wa kwanza[emoji38][emoji38]Nataka nikasomee utoaji ushauri nasaha kwa mateja wa likes.
Shemeji vipi insomnia ama??hadi saahii hujalala??Naamini ubongo wetu ukichunguzwa
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji736]Afrika ni bara pekee linaloanzia ukanda wa kaskazini wa joto hadi ukanda wa kusini wa joto. Ni bara lenye joto zaidi duniani na la pili kwa ukame baada ya Australia.