Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ukimaliza kuhamishia likes zako zote kwangu basi utakuwa umepona!
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji736]Afrika ni bara lenye watu wa umri mdogo zaidi. Zaidi ya asilimia 50 ya watu Afrika wako chini ya umri wa miaka 20, ukilinganisha na kiwango cha wastani cha dunia ambacho ni 30. Hivyo Afrika ina kiwango kikubwa cha watoto tegemezi chini ya umri wa miaka 15.
Nimeamka. Inakaribia saa 10 usiku. Mvinyo mwekundu shemeji.....Shemeji vipi insomnia ama??hadi saahii hujalala??
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji109] [emoji109] [emoji736]Chuo cha zamani zaidi kipo Afrika. Ni chuo cha Karueein kilichopo Morocco, kilianzishwa mnamo mwaka 859 BK na bado kinafanya kazi.
likeskumbe bado likes zinaendelea
nimerudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Mto Nile ni mto mrefu kuliko yote Afrika. Mto huu una urefu wa kilometa 6,650 (maili 4,132) na umekatiza kwenye nchi 11.
Ulipotelea wapi mkuunimerudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji736]Kisiwa kikubwa zaidi Afrika ni Madagascar, kinapatikana bahari ya Hindi na kina ukubwa wa kilometa za mraba 587,713. Pia kisiwa hiki ni cha nne duniani kwa ukubwa na cha pili kwa nchi kubwa ambazo ni visiwa.
Hahahahaha janja ya Nyani hiyoooUkimaliza kuhamishia likes zako zote kwangu basi utakuwa umepona!
Mvinyo mwekundu tena shemeji?[emoji23][emoji23]poleNimeamka. Inakaribia saa 10 usiku. Mvinyo mwekundu shemeji.....
Upo Kenya !!!Mlima Kilimanjaro unapatikana barani Afrika. Mlima huu una urefu wa takriban meta 5,895 kutoka usawa wa bahari. Mlima huu unapatikana kaskazini mwa Tanzania.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Ziwa viktoria ni ziwa kubwa zaidi Afrika na la tatu duniani kwa ukubwa (Kilometa za mraba 69,485). Ziwa hili lipo eneo la maziwa makuu likihusisha Tanzania, Kenya na Uganda.
carbamazepine hapa amekusikia kabisaKama huna muda wa kuongea na mpenzi wako kwa kituo sababu ya likes
nilipewa kesi ya uchochezi, kisha nikanyimwa zamanaUlipotelea wapi mkuu
Shwari kiasi kisa umegoma kuja hivi karibuni. [emoji6]Nimeamka we msela
Aje aje huko
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Afrika ni makazi ya mnyama mrefu na mkubwa zaidi duniani. Wanyama hao ni twiga na tembo ambao wote wanapatikana Afrika.
Si tunaongea humu?au haitoshi[emoji38][emoji38][emoji38]carbamazepine hapa amekusikia kabisa