Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna watu wengi wanaozungumza Kifaransa Afrika kuliko wale walioko Ufaransa.
Kuna Kifaransa na Kifaransa. Mfaransa asili haamini kama mtu mwingine (let alone Mwafrika) eti anaweza kuzungumza Kifaransa cha kweli. Wanajivunia sana lugha na utamaduni wao ndiyo maana wana BAKITA yao inayohakikisha kuwa lugha yao "tukufu na tamu" hainajisiwi !!!
 
a8162b77386ae96fbd23e127b4b08adf.jpg
Kaka eminza!
Ja mashiko?
 
Back
Top Bottom