mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
DuKaribu nusu yote ya dhahabu iliyowahi kuchimbwa duniani, imetoka Witwatersrand huko Afrika ya Kusini.
DuKaribu nusu yote ya dhahabu iliyowahi kuchimbwa duniani, imetoka Witwatersrand huko Afrika ya Kusini.
Dola milioni nane aiseeSimu ya ghali zaidi duniani ya iphone5 imetengenezwa kwa dhahabu na ina thamani ya zaidi ya dola za Marekani milioni 8. Simu hii pia imewekewa almasi nyeupe.
Hii nilikuwa nayo ila nimeishinda[emoji123][emoji123]Glossophobia – Hofu ya kuogopa kuongea mbele za watu.
Kwa mujibu wa twakimu huyu hakika ndiye tajiri haijapata kutokeaInasemekana huyu ndiye mtu tajiri kuliko wote aliyewahi kuishi. Hata Mfalme Suleiman cha mtoto....
Hii sijui kama itaniisha [emoji22][emoji22]Ophidiophobia – Hofu ya kuogopa nyoka.
Kichwa Kichafu njoo uone phobia/hofu yangu huku[emoji23]Androphobia – Hofu ya kuogopa wanaume.
Kama ukiipata hii jiandae kuishia kwenye psychosis kwakweli[emoji15]Tokophobia – Hofu ya kuogopa kupata ujauzito na kujifungua.
AMUN RA11:55
AMUN RA11:55