Kwa sasa watu wengi hapa mpenzi wao ni likes tu[emoji3] [emoji3]Kama huna muda wa kuongea na mpenzi wako kwa kituo sababu ya likes
Hapana mkuu, daa simu tenaKama hujibu simu za watu sababu ya likes
Hapo umenena, daa hili ni jangaKama hupati usingizi wa kutosha sababu ya likes