mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Imani inaponyaMie pamoja na kwamba sio mkatoliki huwa nalala na rozali,kuna siku naongeza biblia kabisa
Imani inaponyaMie pamoja na kwamba sio mkatoliki huwa nalala na rozali,kuna siku naongeza biblia kabisa
Aisee nilikuwa sijuiUnaweza kukaa bila kulala kwa siku 11
Rekodi ya dunia ya mtu aliayeweza kukaa muda mrefu zaidi bila kulala iliwekwa na Randy Gardner ambaye alikaa siku 11 pekee. Inaelezwa kuwa ukikaa zaidi ya hapa utaanza kupata matatizo ya kiakili na kisaikolojia.
Poa mkuuHabari zenu wadau wa mida hii
Salama kabisa tunalisogeza taratibuMzuka Kiongozi.
Usalama upo.
Na wewe je?
Likes za kike
Likes za mfukua makaburi
Likes za kijanja
Likes za Fiesta
Likes za wanaume wa shoka[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji109] [emoji109]
HahahahahaUlifanifanikiwa kupimwa mkojo na mate ?
JLO achuji kabisaKweli Kiongozi.
Ila Britney anachuja.
JLO bado wamo