Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shikamooni akina mama wote. Kwa hili suala huwa nawavulia kofia kwa kweli. Mungu Awabariki sana.

Halafu juzi hapa Carba akaweka data kuonyesha kuwa vifo vya wazazi vinaongezeka nchini. Nilihuzunika sana kwa sababu I can't imagine umempeleka mkeo kujifungua hospitalini halafu unarudi na maiti. Pamoja na kuchukua tahadhari zote ni kuomba tu kwa kweli [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Weeee!Numbisa ushawahi tambaliwa na mende wewe?[emoji23][emoji23]
Kuna wale wanaoruka acha haao wanaotambaa
[emoji117][emoji117]nakumbuka wakati niko mdogo sijui walinitambaa usoni mana nililala chini nje,kuja kuamka usoni mdomo umevimba hatari siku nzima nilishinda ndani siwezi hata kutoka nje
Pole sana
 
Back
Top Bottom