Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna vifo vingine yani hata ufanye jitihada gani huwa vinatokea kwasababu moja ama nyingine iwe ni complications au ishu nyingine
Ila vingi vinazuilika tatizo ni hii system yetu ilivyo shida ni vifaa tiba na dawa na elimu.
Kweli sekta ya afya imesahaulika sana,siku ikipewa maboresho vifo vingi vinaweza zuilika hasa vile ambavyo siku haijafika
 
Mende nimeshawazoea,sehemu nilipokulia mende tele,ugenini usiseme ukienda choon washa taa wamejaa tele wanakimbia,ila akinizukia nawah ndala tap kwisha habari. Polen sana ondoen hofu hicho kimdudu hakiumi bana
Weeee!Numbisa ushawahi tambaliwa na mende wewe?[emoji23][emoji23]
Kuna wale wanaoruka acha haao wanaotambaa
[emoji117][emoji117]nakumbuka wakati niko mdogo sijui walinitambaa usoni mana nililala chini nje,kuja kuamka usoni mdomo umevimba hatari siku nzima nilishinda ndani siwezi hata kutoka nje
 
Hahahaa mpaka anitambalie ntakua wapi,namdaka namtua chini kipondo kinafatia,uoga wako upo hapo kwenye kuwaza atakutambalia ndio maana ukimuona tu mende unakosa raha,ila ukiondoa uoga wa kusema atakutambalia basi utakua umeshatoa hofu hio. Pamoja na funza,naogaopa watoto wa wanyama hasa wa paka uwiii huwa nakosa amani kabisa. Shukran ninapooshi hakuna mfuga paka wala mbwa
 
1507580698837.jpg
 
Kumbe na wewe waogopa mende[emoji23][emoji23][emoji23]nilijua ni mimi tu
Wazima hawa sina shida nao sana. Shida yangu hasa ni kwenye nightmares. Zile ndoto za kukimbizwa halafu unajaribu kukimbia lakini huwezi kama umefungwa miguu. Basi mimi badala ya kukimbizwa na simba au limtu mi huwa nakimbizwa na mamende makubwa. Nikiamka yaani huwa siwezi kulala tena. Uzuri ndoto hizi huwa hazinitokei mara nyingi otherwise ingekuwa shida!
 
P
Weeee!Numbisa ushawahi tambaliwa na mende wewe?[emoji23][emoji23]
Kuna wale wanaoruka acha haao wanaotambaa
[emoji117][emoji117]nakumbuka wakati niko mdogo sijui walinitambaa usoni mana nililala chini nje,kuja kuamka usoni mdomo umevimba hatari siku nzima nilishinda ndani siwezi hata kutoka nje
pole mkuu kwa ajali ya mende utotoni,enzi za utoto nilikua busy sana kiasi kwamba sikua naogopa kitu zaidi ya giza hasa umeme ukikatika eneo zima niwe peke yangu uwiii sabufa haina sauti kunishinda hahaah
 
Back
Top Bottom