Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hapo sasa na pia kuna maumivu makali borakujifungua kwa njia ya kawaida kuliko opareshen ambayo ina mateso hasa mtu asipofatilia maelekezo ya dokta. Nasikia hamisa alijifungua kwa opareshen ila sasa kutulia hawezi sijui mshono ulipona au laSababu zao nyingi hazina mashiko,hawajui kama operations nazo zina risk zake na ukomo wake pia