Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ni kweli na siku hizi kujifungua kwa operation ni sifa sijui[emoji19][emoji19]
Sababu zao nyingi hazina mashiko,hawajui kama operations nazo zina risk zake na ukomo wake piaWengine hawana sababu za maana mara wanaogopa kuharibika k wengine wanalazimisha opaereshen wawah kujifungua ati mume atachoka kusubiria etc