myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Siku inaelekea ukingoni
Watu wanaogopa kuzeeka k,maisha hayaHapo sasa na pia kuna maumivu makali borakujifungua kwa njia ya kawaida kuliko opareshen ambayo ina mateso hasa mtu asipofatilia maelekezo ya dokta. Nasikia hamisa alijifungua kwa opareshen ila sasa kutulia hawezi sijui mshono ulipona au la
Shikamooni akina mama wote. Kwa hili suala huwa nawavulia kofia kwa kweli. Mungu Awabariki sana.Hapo sasa na pia kuna maumivu makali borakujifungua kwa njia ya kawaida kuliko opareshen ambayo ina mateso hasa mtu asipofatilia maelekezo ya dokta. Nasikia hamisa alijifungua kwa opareshen ila sasa kutulia hawezi sijui mshono ulipona au la
Mende bwana dah! Halafu sasa mpaka usingizini nightmares zangu ni kufukuzwa na mamende makubwa tu. Hovyo kabisa !!!Hahahaha jaman hadi mende duh mie naogopa sana funza aisee sijui nikifa itakuwaje
Watu wanaogopa kuzeeka k,maisha haya
Sasa na kazi yake ile ya kubinuka binuka[emoji23] haki ya nani,labda kama ilibidi afanyiwe ila kama aliomba mwenyewe namuonea huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Daktari bwana !!!Mdomo upo hadharan haujajificha,denda inaliwa mdomon ujue. TOA LIKE UPATE LIKES
Kumbe na wewe waogopa mende[emoji23][emoji23][emoji23]nilijua ni mimi tuMende bwana dah! Halafu sasa mpaka usingizini nightmares zangu ni kufukuzwa na mamende makubwa tu. Hovyo kabisa !!!
Funza wakati umekufa hawatakudhuru. Au unaweza kuamua kuwa cremated...
Shikamooni akina mama wote. Kwa hili suala huwa nawavulia kofia kwa kweli. Mungu Awabariki sana.
Halafu juzi hapa Carba akaweka data kuonyesha kuwa vifo vya wazazi vinaongezeka nchini. Nilihuzunika sana kwa sababu I can't imagine umempeleka mkeo kujifungua hospitalini halafu unarudi na maiti. Pamoja na kuchukua tahadhari zote ni kuomba tu kwa kweli [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sasa bora wale mende ambao hawaruki ila kimbembe wale wanaoruka wale yani wale utafikiri wanajeshi wa Kinjekitile Ngwale kiongozi wa Vita vya Maji MajiKumbe na wewe waogopa mende[emoji23][emoji23][emoji23]nilijua ni mimi tu
Mende bwana dah! Halafu sasa mpaka usingizini nightmares zangu ni kufukuzwa na mamende makubwa tu. Hovyo kabisa !!!
Funza wakati umekufa hawatakudhuru. Au unaweza kuamua kuwa cremated...
Mende nimeshawazoea,sehemu nilipokulia mende tele,ugenini usiseme ukienda choon washa taa wamejaa tele wanakimbia,ila akinizukia nawah ndala tap kwisha habari. Polen sana ondoen hofu hicho kimdudu hakiumi banaKumbe na wewe waogopa mende[emoji23][emoji23][emoji23]nilijua ni mimi tu
Kumbe na wewe waogopa mende[emoji23][emoji23][emoji23]nilijua ni mimi tu
Kuna vifo vingine yani hata ufanye jitihada gani huwa vinatokea kwasababu moja ama nyingine iwe ni complications au ishu nyingineIla wengine wana roho ngumu sana hasa wanaotupa watoto huwa wananshangaza sana.
Vifo wakat wa kujifungua vingi vinazuilika tatizo wakunga hawapewi kipaumbele kwenye maslah unakuta mtu ana mawazo tele madeni kibao halafu yupo kazin hapo lazima achanganye madesa,vifaa duni etc