Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1507580698837.jpg
 
Hahahaa mpaka anitambalie ntakua wapi,namdaka namtua chini kipondo kinafatia,uoga wako upo hapo kwenye kuwaza atakutambalia ndio maana ukimuona tu mende unakosa raha,ila ukiondoa uoga wa kusema atakutambalia basi utakua umeshatoa hofu hio. Pamoja na funza,naogaopa watoto wa wanyama hasa wa paka uwiii huwa nakosa amani kabisa. Shukran ninapooshi hakuna mfuga paka wala mbwa
Ona sasa. Huogopi mende halafu unaogopa watoto wa paka wasio na madhara yo yote. You just cuddle with them.

Mende mtu unakuwa umelala zako halafu wanakutambalia ukizubaa wanaingia mpaka mdomoni. Halafu sijui yana sumu yale. Ukiyatafuna unaweza kukata roho !!!
25a35b5d2c4e1b0a404d8659ac0c860e.jpg
 
Wazima hawa sina shida nao sana. Shida yangu hasa ni kwenye nightmares. Zile ndoto za kukimbizwa halafu unajaribu kukimbia lakini huwezi kama umefungwa miguu. Basi mimi badala ya kukimbizwa na simba au limtu mi huwa nakimbizwa na mamende makubwa. Nikiamka yaani huwa siwezi kulala tena. Uzuri ndoto hizi huwa hazinitokei mara nyingi otherwise ingekuwa shida!
Ningekua mlokole ningekwambia ni mapepo,unajua kuna saa hali hio inatokea ni mateso tupu jaribu kunuia sala ya dini yako ikitokea hali hio utanasuka tu.
 
Back
Top Bottom