Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1507580683070.jpg
 
Pua ya binadamu inaweza kubaini harufu trilioni moja

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Leslie Vosshall kwenye chuo cha Rockefeller, ulibaini kuwa pua ya binadamu inaweza kubaini harufu tofauti takriban trilioni moja. Kiwango hiki ni tofauti na kilichokuwa kinafahamika mwanzo cha harufu 10,000.
 
Wazima hawa sina shida nao sana. Shida yangu hasa ni kwenye nightmares. Zile ndoto za kukimbizwa halafu unajaribu kukimbia lakini huwezi kama umefungwa miguu. Basi mimi badala ya kukimbizwa na simba au limtu mi huwa nakimbizwa na mamende makubwa. Nikiamka yaani huwa siwezi kulala tena. Uzuri ndoto hizi huwa hazinitokei mara nyingi otherwise ingekuwa shida!
Pole sana
 
Unaweza kuishi siku 30 bila chakula

Inaelezwa kuwa binadamu anaweza kuishi siku 30 bila chakula; siku 3 bila maji; dakika tatu bila oksijeni. Je ulilifahamu hili kuwa unaweza kunywa maji tu bila kula na ukaishi siku thelathini?
 
Back
Top Bottom