Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Inawezekana aisee japo huwa inanitokea mara moja moja sana. Nitajaribu kufanya hivyo. Hakuna wachungaji/mashehe humu?Ningekua mlokole ningekwambia ni mapepo,unajua kuna saa hali hio inatokea ni mateso tupu jaribu kunuia sala ya dini yako ikitokea hali hio utanasuka tu.
Hizi phobia hizi ni shida aisee. Sasa vitoto vizuri vya paka unaanzaje kuviogopa? Vilishawahi kukuparura ulipokuwa mtoto? Au una allergy navyo?Mmh acha hizo kuwaangalia tu mateso sembuse kuwasogelea karibu haiwezekan,weken net mende mtawasikia kwa majiran wakat wa kulala maana usafi wa shuka kitanda net adui wa mende,kunguni,chawa na wadudu wengine
Imagine kweli limejaa ndo ulazimishwe kuogeleamo. Sijui hata nawaza nini [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Unaweza kujaza bwawa la kuogelea kwa mate yako
Bwawa la kuogelea? Ndiyo, kwa kipindi cha maisha yako yote unazalisha kiasi cha mate kinachoweza kujaza bwawa la kuogelea kama kingekuwa kinakusanywa.