Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahaha hapana chezea giza unaona kama mazombie yanakufuata vileHahaa ulikuwa washindana na sabufa
Hahaha hapana chezea giza unaona kama mazombie yanakufuata vileHahaa ulikuwa washindana na sabufa
Kiongozi.Pamoja mkuu aminia sana madawa hatari sana
Hizi phobia hizi ni shida aisee. Sasa vitoto vizuri vya paka unaanzaje kuviogopa? Vilishawahi kukuparura ulipokuwa mtoto? Au una allergy navyo?
Imagine kweli limejaa ndo ulazimishwe kuogeleamo. Sijui hata nawaza nini [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Madawa uyasikie tu Kiongozi.madawa hatari sana