Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

T.I.-Charity.jpg
Mkuu niaje
 
QUEEN aliacha miondoko ya kufoka foka, akawa anaimba Kwaya.

Na kuvaa Magauni marefu, aliacha mambo ya Milegezo.

Na pia hata yeye QUEEN amejikita kwenye Luninga.

Na anacheza Filamu pia.

Nimeziona Filamu zake nyingi sana.

Kuna ile moja ya kitambo kidogo huwa naipenda sana.

Kama hukuwahi kuitazama, fanya michakato uitizame.

Filamu moja nzuri sana, ingawa ipo kiComedy Comedy.

Inaitwa Bringing Down the House.

Hutojuta Kiongozi
Wacha niitafute
 
DMX amevurugwa.

Amekuwa Mtu wa Misala kwa sana.

Madawa kulevya kwa sana.

Kuna kipindi alizidiwa akazima ikafikia mpaka kupelekwa Hospitalini na kulazwa.

Kifupi DMX ni Mtu Mzima hovyo.

Kuna kipindi DMX alikuwa anacheza sana Filamu.

Nilikuwa nazifuatilia sana Filamu za DMX.

Kama kuna ile moja ambayo yuko na Steven Seagal ya kuitwa EXIT WOUNDS.

Au kuna ile ambayo yuko na Mwanae Dragon (wa Ruff Ryders), Gabrielle Union (Demu huyu namkubali sana), Anthony Anderson, JET LI.

Kama hujawahi kuitazama ifanyie michakato.

Filamu yenyewe inaitwa CRADLE TO THE GRAVE.

Hutojuta Kiongozi
Pamoja mkuu aminia sana madawa hatari sana
 
Back
Top Bottom