Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mwendo mdundoWakati unaendelea kugonga likes pia endelea kudondosha post zako
HahahahahaHapa hakuna wa kukumwagia povu, si kwamba watu hawawezi, laa hapa upendo umepewa nafasi kubwa
YapUkitamani povu za kisiasa ruka mahali husika, hata kama utakutana na memba wa hapa usihofu, tililika naye tu huko huko mpaka kieleweke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa ukimpenda mvulana sema naye tu hata kama ana wife[emoji3] [emoji3] ukimpenda mke wa mtu shauri yako[emoji3] [emoji3] watu wasiojulikani wapo hapa[emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa kuna mchina anasema kiswahili kile cha kariakoo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa pana mwanafunzi wa ugaidi ana mke bomba huyoo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa pana muhenga wa zama za mawe lakini anajifanya under 18[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
HahahahahaAcha maneno gonga likes, unaweza kunigusa mi mwenyewe mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
HahahahahaHapa pana mchezaji wa zamani wa timu ya Liverpool ya England, lakini hapa anajitambulisha kuwa yeye ni mtumishi wa "mamlaka ya ustawishaji makao makuu"[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Habari mkuu[emoji113][emoji113][emoji113]
HahahahahaHapa tunaye mchambuzi mashuhuri wa soka kwenye Luninga ya Sky sport ya England, mwenye makazi yake London. Jamaa ana post kwa kasi ya ajabu na likes za kasi ya supersonic
The one and onlyHapa tunaye Malkia wa likes jamiiforums yote, kwa sasa yupo likizo. Na hata hivi hakuna anayeweza kuifikia rekod ya likes ingawa kwa sasa hayupo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unanitafuta hivyooHapa pana mwanafunzi wa ugaidi ana mke bomba huyoo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
HaaaaaaaaahaaaaHapa kuna shilawadu wa kiume[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Andjul lolHapa pia pana mkulima wa mapalachichi ana wife wake huyooo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji106]
MtajeeeeHapa kuna shilawadu wa kiume[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Very strange
HaaaaaaaaaaHapa pana Daktari bingwa wa moyo, lakini anajifanya muuza dawa za kienyeji[emoji3] [emoji3] [emoji3]