Hahaaaaaaa Eti imehackiwaBeef Lasagna. Is that you? Au akaunti yako imehakiwa? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Huku kwema shemeji langu na mie. Kama utakataa basi utaandika historia katika nchi hii ambayo (kama alivyowahi kusema Baba wa Taifa) watu wanapenda sana kutawala hata kama hawajui kutawala!Nitakataa ujue[emoji23]
Kwema shemeji langu la nguvu,sijui huko
Sijui vizuri maana ya msemo huo. Nimeshabadilisha shemeji kama una ukakasi. Lugha !!!Shemeji wakakutangaze tena??[emoji15][emoji15][emoji15]
Ni wewe umeandika ama??
Umeona eeh! Eti kama jana from nowhere nikaku[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]. Akili hovyo kabisa hii. Imagine kama Cole angeona? Ubro si ungekufa? Au Andjul? Au kale katineja kakongwe? Moto si ungeniwakia?Akili yako hata mimi siiamini siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua hapa unaangalia avatar ya mtu na vitu anavyopost basi unamjengea haiba fulani akilini mwako. Nilikuwa nimejenga haiba kuwa u binti wa kiislamu tena mwenye msimamo mkali. Ndiyo maana nilipoona umeweka picha za aina hiyo nikashtuka. Mitandao hii we acha tu !!!Hahaaaaaaa Eti imehackiwa