Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

88a15b1c403d7585d93aac38ae4b5891.jpg
 
Hizi ndizo post zinazoendana na haiba yako uliyojijengea nafsini mwangu sasa. Siyo zile picha zingine zileeeeeee,[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Wakati huu uzi ulipoanzishwa hata nukta tuliipa likes nyingi mnooooo lkn sasa hivi hata sentensi iwe vipi likes ni kiduchu
Wewe unatoa lakini hizo likes au unalalamika tu mkuu? Ndivyo hivyo. Tabia za watu zinabadilika badilika. Hata katika uzi huu tegemea kuona mabadiliko hayo.

Mf. Watu hawapendi namba na kukwotiwa sana.
 
Tumeumbwa washauri sio watawala kutaka tuwatawale ni kutuoverdose tu[emoji19][emoji19][emoji19]
Nimekupata shemeji. Atakayekuoa ana bahati! (Cc. Cole)

Majumbani huko migogoro mingi inatokana na kugombea madaraka kwenye familia. Ikitokea mwanamke ana kipato kikubwa au ndiye anafanya kazi basi anachukulia hiyo kama nafasi ya kujinyakulia madaraka ya familia. Matokeo yake ni migogoro tupu !!!
 
Back
Top Bottom