Nimeshacheki mkuu. I salute you sir!Mkuu shimba ya buyenzi hebu rudi post za awali ounage huko tulivyolianzishaga dude
Hilo li muvi silipendagi kabisa
Karibu tena Kisu. Ulipotea jumla japo huwa nakuona kwenye sredi nyingine huko. Angalau Ukhuty huwa anapita huku mara moja moja![emoji146]
Polee SanaHilo li muvi silipendagi kabisa
Baba D na Mama D...
CHAWAMITA ........
Wapo wengi tatizo mnaangalia chura 😀Sasa namtoa wapi mkuu? Maana hawapatikani
Hahaaaaa haya jamnHizi ndizo post zinazoendana na haiba yako uliyojijengea nafsini mwangu sasa. Siyo zile picha zingine zileeeeeee,[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
So unamaanisha kuwa wenye chura ndo wana tabia mbaya?Wapo wengi tatizo mnaangalia chura 😀
Ostadhi
Bahati hizi aisee. Mungu anipe niniNimekupata shemeji. Atakayekuoa ana bahati! (Cc. Cole)
Majumbani huko migogoro mingi inatokana na kugombea madaraka kwenye familia. Ikitokea mwanamke ana kipato kikubwa au ndiye anafanya kazi basi anachukulia hiyo kama nafasi ya kujinyakulia madaraka ya familia. Matokeo yake ni migogoro tupu !!!
Bidhaa ikigombewa na wengi Unajua kinachotokeaSo unamaanisha kuwa wenye chura ndo wana tabia mbaya?