myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hizi ndizo post zinazoendana na haiba yako uliyojijengea nafsini mwangu sasa. Siyo zile picha zingine zileeeeeee,[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Love !!!
weka likes
Wewe unatoa lakini hizo likes au unalalamika tu mkuu? Ndivyo hivyo. Tabia za watu zinabadilika badilika. Hata katika uzi huu tegemea kuona mabadiliko hayo.Wakati huu uzi ulipoanzishwa hata nukta tuliipa likes nyingi mnooooo lkn sasa hivi hata sentensi iwe vipi likes ni kiduchu
[emoji817]Love !!!
Hapa hakuna anayewaza sawa sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu shimba ya buyenzi hebu rudi post za awali ounage huko tulivyolianzishaga dudeWewe unatoa lakini hizo likes au unalalamika tu mkuu? Ndivyo hivyo. Tabia za watu zinabadilika badilika. Hata katika uzi huu tegemea kuona mabadiliko hayo.
Mf. Watu hawapendi namba na kukwotiwa sana.
Nimekupata shemeji. Atakayekuoa ana bahati! (Cc. Cole)Tumeumbwa washauri sio watawala kutaka tuwatawale ni kutuoverdose tu[emoji19][emoji19][emoji19]