Wanapumbika sanaHivi kumbe uzi wa makapuku ndo kuna pumba kiasi hiki??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Son of a Cow = Ndama Mutoto ya Ngombe
Haya bhana msalimie bitozi na shunieHadi kimvuli sio penat tu
Makinikia inamhusu[emoji63] [emoji63]
Kwa raha zetu
Lazima usome kwanza, jamaa anaweza akakutusi au akaniambia nataka nikugonge, mi nikaweka likes, mi si punga!Mnasoma kumbe, nikajua mnatiririka kwenye likes pekee
Hahaha kimalikia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
BaaasiiiNa kigezo chake ni kujua kusoma na kuandika tu.
kibiti mkuuHahaha shamba lako liko mjini nini, maana shambani kwako panasoma 4G
Gharika la likes[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mafuriko ya leo haijawahi kutokea
Ngoja wakupe likes sasaNaona likes zimekuwa makinikia.
Maana si kwa kuzitafuta huko..lol.
Na wewe unazitaka sioJaman nmeshawalike nyote, asante mleta uzi
Hahaha nmekukubali njia yako ya kuomba likes haya nmekupa nipe na mimiKumbe mnasoma nilizani mnatoa like tu hadi matusi
Ohooo, bila shaka wewe ni kati ya wanajeshi walioko dolia.kibiti mkuu