robertmjavija
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 541
- 415
20:0016:16
Yopsiku inakimbia
Yopjioni hiyooo
HahahahahaUnajua hapa unaangalia avatar ya mtu na vitu anavyopost basi unamjengea haiba fulani akilini mwako. Nilikuwa nimejenga haiba kuwa u binti wa kiislamu tena mwenye msimamo mkali. Ndiyo maana nilipoona umeweka picha za aina hiyo nikashtuka. Mitandao hii we acha tu !!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]