Kweli kabisaJf imahamia kwenye huu uzi walahi
Mambow Pap?[emoji8][emoji8][emoji8]
My favor teamLiver upo
Mwezi umeonekana kibiti kama unabisha nenda ukajionee mwenyewe
Naona watu wanapenda upendo!Kweli kabisa
Tupige kura tuchague mtu mmoja wa kwenda kula sikukuu ya Idd Kibiti,
Majina yako sita tu, mmoja akishinda basi atawakirisha.
1.Kichwa Kichafu
2.ISIS
3.ANDJUL
4.Mzee wa liver
5.GeJo
6.Uniq.
Naomba tuwapigie kura.
kumbe kura za maoni huku kula za likeUmenikumbusha wakati wa kura za maoni jimbo moja zilipigwa kavukavu kati ya mshindi na mshindwa baada ya aliyekuwa mbunge na waziri kushindwa ktk kura za maoni.
Mzee wa jack Daniels upo?Mambow Pap?
A lotWhat have i missed here!?
Hahahahahaha My Queen unatakiwa kibitiISIS