Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tupige kura tuchague mtu mmoja wa kwenda kula sikukuu ya Idd Kibiti,
Majina yako sita tu, mmoja akishinda basi atawakirisha.
1.Kichwa Kichafu
2.ISIS
3.ANDJUL
4.Mzee wa liver
5.GeJo
6.Uniq.
Naomba tuwapigie kura.
Duh! Mimi huko nita pass my dear! Maana duh!
Huwa sipendi maumivu wala kuona mtu anaumia! Wee pata likes tu ndugu yangu
 
Tupige kura tuchague mtu mmoja wa kwenda kula sikukuu ya Idd Kibiti,
Majina yako sita tu, mmoja akishinda basi atawakirisha.
1.Kichwa Kichafu
2.ISIS
3.ANDJUL
4.Mzee wa liver
5.GeJo
6.Uniq.
Naomba tuwapigie kura.
Samahani mkuu naomba nisishiriki hapo, watoto wananitegemea, hata wife nilivyo muonyesha hiyo post amemchukia ghafla boss wa JF kuwa kwanini hakunipeleka kwenye kuhakiki makontena ya Makinikia ila amekuwa mwepesi kunipeleka Kibiti? Amegoma totally yaani...
 
Back
Top Bottom