Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20171010-WA0061.jpg
 
Taarifa za kazi au zinazohusiana na kazi yako

Watu wengi hupenda kujionyesha wakiwa ofisini, pia wengi hupenda kuchapisha maswala mbalimbali yahusuyo kazi zao. Huwezi kujua nani anaona taarifa hizo na atazitumiaje. Namkumbuka dada mmoja aliyekuwa akieleza marafiki zake kwenye mtandao anavyomdanganya mwajiri wake katika manunuzi ya kampuni;
 
kumbe kuna mtu alitaka ile nafasi ya yule dada. Mara siku moja yule mtu akamwonyesha mwajiri mambo aliyokuwa akiyafanya na kuyaweka kwenye mtandao wa Facebook. Kilichotokea yule dada alipoteza kazi yake. Hivyo basi tenganisha kazi yako na mitandao yakijamii.
 
Maisha binafsi au ya faragha

Kuna ulimbukeni umeibuka siku hizi, hasa kwa wakinadada wa kuweka picha na video mabalimbali wakiwa faragha. Siku hizi watu huweka picha wakiwa bafuni, wakiwa wamelala, wakiwa baa, wakifanya tendo la ndoa n.k. Huwezi kujua ni nani ataiona akaunti yako na atachukua maamuzi gani.
 
Mali na utajiri

Akaunti nyingi za watu hupambwa kwa mali na maisha ya anasa na kifahari. Watu wamekwenda mbali zaidi na kuweka kila kitu walichonacho kwa piacha, maandishi na hata zideo. Nimeshuhudia watu wakiweka magari, nyumba, viwanja, mishahara, kiasi cha matumizi yayo, bei za vitu walivyo navyo n.k. Ulishawahi kujiuliza haya yote ni kwa ajili ya nini? Je ni wote wanaburudishwa na taarifa hizi? Fungua macho; hapa ni sawa na kumpeleka swala katika bunge la simba. Tambua unawajulisha wahalifu palipo na vya kuiba; hivyo ficha maswala yahusuyo mali na utajiri wako katika mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom