Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hata sielewi mana si kawaida yangu.
Asante,kazini tutapambana tu hivyohivyo mana kazi lazima ziende,ila cha moto nitakiona leo[emoji19][emoji19]
Haya hongera kwa furaha uliyonayo na uendelee kuwa nayo hadi utakapo amka asubuhi
Ndio carba kwema kabisa hofu kwakoKwenu ndo kumekucha eeh?
Habari ya wewe
Wanaume na mindevu yao kiongoziHaya madevu vipi? Nation of Islam ama? Akina nani hawa?