Presha kubwa ilikuwa juu ya Argentina na kocha wao, lakini presha mara dufu ilikuwa mabegani mwa Lionel Messi katika kampeni zao kufuzu Kombe la Dunia 2018.
Wengi walishakata tamaa na wengi waliamini Messi ana nafasi ndogo kushiriki kombe la dunia mwakani lakini alichofanya alfajiri ya leo kinathibitisha kwamba yeye ni Simba kama jina lake Leo.
Lionel Messi amewabeba Argentina mabegani mwake na kuwapeleka kombe la dunia baada ya kufunga mara tatu katika ushindi wa bao 3 kwa 1 dhidi ya Ecuador.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.