iiiiii jaman tusijirembe kwa furaha zetu
Hivi ukijiremba na ukaenda sokoni na kurudi hakuna cha mluzi, "anti leo umetokelezea" wala nini utajisikiaje?iiiiii jaman tusijirembe kwa furaha zetu
Fresh tu miluzi na sifa kelele tu,heshima pesaaaaaHivi ukijiremba na ukaenda sokoni na kurudi hakuna cha mluzi, "anti leo umetokelezea" wala nini utajisikiaje?
Naelekea mitaa mingine ya jf mkuuBye bye unakwenda wapi ndugu?