Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Je umesikia hilo? Watu mashuhuri wanazalisha matokeo yakushangaza kwa sababu wanafanya kile wanachokipenda. Unapopenda kile unachokifanya, ni wazi kuwa utafanya kazi nzuri. Michael Jordan asingefanikiwa kwenye mpira wa kikapu kama asingekuwa anapenda mchezo huo. Warren Buffett ametengeneza mabilioni ya dola kutokana na uwekezaji, kwa kuwa anapenda sana kazi hiyo.
 
Ni lazima ujikite kwenye maboresho kila siku. Kama wewe ni mjasiriamali, unahitaji kuboresha maarifa na ujuzi wako wa ujasiriamali. Njia pekee ya kuwa bora katika kile unachokifanya, ni kufanya maboresho kila siku. Fanya kitu kitakachokufanya kuwa bora zaidi kila siku. Soma vitabu na makala (kama hii unayosoma), pia sikiliza watu watakaokujenga na kukupa hamasa kila siku.
 
Back
Top Bottom